Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kauli za kadhia ya Balozi wa Marekani nchini Israel kuhusu madai ya Israel kumiliki ardhi kutoka Mto Nile hadi Mto Furat, zimeibua wimbi la majibu na lawama katika eneo hilo.
Kauli hizi zilikosolewa sana hasa nchini Pakistan, zikipingwa na wanaharakati wa kisiasa na vyombo vya habari.
Your Comment